News
STRAIKA wa Newcastle, Alexander Isak ameonekana akifanya mazoezi peke yake katika klabu yake ya zamani, Real Sociedad, huku ...
SIMBA juzi usiku ilimtambulisha kiungo mshambuliaji Alassane Kante kwa mkataba wa miaka miwili, lakini usichokijua ni nyota ...
MAMBO ni moto. Manchester United imeamua kwenda miguu yote kwenye ofa yao ya kumchukua straika wa RB Leipzig, Benjamin Sesko.
BAADA ya aliyekuwa nahodha wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kutimka kikosini humo inaelezwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids amemwachia msala Shomari Kapombe kwa ...
MABOSI wa Yanga wameshamaliza kazi ya kusajili majembe ya maana kwa kikosi cha msimu ujao wa mashindano, ikiwamo kushusha makocha wapya katika benchi la ufundi na leo benchi hilo chini ...
LIGI Kuu Bara iko katika kipindi muhimu cha ukuaji ikivutia wawekezaji, wachezaji na makocha pia ndio maana imekuwa ni kazi rahisi kwa sasa kushawishi hayo makundi kufanya nayo kazi na ...
JUMAMOSI ya wiki iliyopita mapambano ya ngumi yaliyopigwa pale katika Viwanja vya Leaders Kinondoni yaliacha mijadala mikubwa ...
KOCHA wa Liverpool, Arne Slot anaamini Liverpool imefanya “biashara nzuri” kwa kupata faida kupitia mauzo ya Luis Diaz kwenda ...
MSAFARA wa kwanza wa Simba tayari umeshatua kambini jijini Ismailia, Misri, lakini kuna kitu kimefanywa na mabosi wa klabu ...
WAKATI Yanga SC ikimtambulisha rasmi nyota wa JKU mwenye uwezo wa kucheza beki wa kulia na kiungo mkabaji, Abubakar Nizar ...
KESHOKUTWA ndiyo siku muhimu na kubwa katika soka letu hapa Tanzania ambalo ni mechi ya ufunguzi wa Fainali za CHAN baina ya ...
KLABU ya Simba imeanza rasmi maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 kwa kuondoka nchini jana Jumatano kwenda Ismailia, Misri kwa ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results