News

SIMBA juzi usiku ilimtambulisha kiungo mshambuliaji Alassane Kante kwa mkataba wa miaka miwili, lakini usichokijua ni nyota ...
MABOSI wa Yanga wameshamaliza kazi ya kusajili majembe ya maana kwa kikosi cha msimu ujao wa mashindano, ikiwamo kushusha makocha wapya katika benchi la ufundi na leo benchi hilo chini ...
BAADA ya aliyekuwa nahodha wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kutimka kikosini humo inaelezwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids amemwachia msala Shomari Kapombe kwa ...
LIGI Kuu Bara iko katika kipindi muhimu cha ukuaji ikivutia wawekezaji, wachezaji na makocha pia ndio maana imekuwa ni kazi rahisi kwa sasa kushawishi hayo makundi kufanya nayo kazi na ...
JUMAMOSI ya wiki iliyopita mapambano ya ngumi yaliyopigwa pale katika Viwanja vya Leaders Kinondoni yaliacha mijadala mikubwa ...
KOCHA wa Liverpool, Arne Slot anaamini Liverpool imefanya “biashara nzuri” kwa kupata faida kupitia mauzo ya Luis Diaz kwenda ...
MSAFARA wa kwanza wa Simba tayari umeshatua kambini jijini Ismailia, Misri, lakini kuna kitu kimefanywa na mabosi wa klabu ...
KESHOKUTWA ndiyo siku muhimu na kubwa katika soka letu hapa Tanzania ambalo ni mechi ya ufunguzi wa Fainali za CHAN baina ya ...
CHELSEA na Manchester United zimebakia kuwa timu mbili pekee zinazopambana kwa ajili ya kumsajili kipa wa Paris St-Germain na ...
KOCHA wa Bournemouth, Andoni Iraola amezionya klabu za Ligi Kuu England kuwa Manchester United ni “timu kali sana” baada ya ...
MASHABIKI 45 wamenusurika kifo katika ajali ya moto iliyohusisha basi la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) lililokuwa likienda ...
INAELEZWA huenda Yanga Princess ikakamilisha usajili wa beki wa kati raia wa Nigeria, Akudo Ogbonna, akitokea IFK Kaimal ...