News
MABOSI wa Yanga wameshamaliza kazi ya kusajili majembe ya maana kwa kikosi cha msimu ujao wa mashindano, ikiwamo kushusha makocha wapya katika benchi la ufundi na leo benchi hilo chini ...
BAADA ya aliyekuwa nahodha wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kutimka kikosini humo inaelezwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids amemwachia msala Shomari Kapombe kwa ...
SIMBA juzi usiku ilimtambulisha kiungo mshambuliaji Alassane Kante kwa mkataba wa miaka miwili, lakini usichokijua ni nyota ...
LIGI Kuu Bara iko katika kipindi muhimu cha ukuaji ikivutia wawekezaji, wachezaji na makocha pia ndio maana imekuwa ni kazi rahisi kwa sasa kushawishi hayo makundi kufanya nayo kazi na ...
KESHOKUTWA ndiyo siku muhimu na kubwa katika soka letu hapa Tanzania ambalo ni mechi ya ufunguzi wa Fainali za CHAN baina ya ...
MSAFARA wa kwanza wa Simba tayari umeshatua kambini jijini Ismailia, Misri, lakini kuna kitu kimefanywa na mabosi wa klabu ...
JUMAMOSI ya wiki iliyopita mapambano ya ngumi yaliyopigwa pale katika Viwanja vya Leaders Kinondoni yaliacha mijadala mikubwa ...
KLABU ya Simba imeanza rasmi maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 kwa kuondoka nchini jana Jumatano kwenda Ismailia, Misri kwa kambi ya wiki nne ikiwa ni sawa na siku 28 ili kunoa makali ya ...
KLABU ya Simba imeanza rasmi maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 kwa kuondoka nchini jana Jumatano kwenda Ismailia, Misri kwa ...
Mbeya City imetuma maombi ya kumuhitaji mshambuliaji wa Simba, Valentino Mashaka baada ya nyota huyo kushindwa kupenya katika ...
INAELEZWA huenda Yanga Princess ikakamilisha usajili wa beki wa kati raia wa Nigeria, Akudo Ogbonna, akitokea IFK Kaimal ...
MASHABIKI 45 wamenusurika kifo katika ajali ya moto iliyohusisha basi la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) lililokuwa likienda ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results