WAKATI ushindi wa bao 1-0 walioupata Al Ahly kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam juzi usiku umehitimisha rekodi nzuri ya Simba nyumbani, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha, amesema ...