News

MSANII mkali wa singeli, Dulla Makabila wiki hii ‘ametrend’ baada ya kutupia picha yenye mwonekano mpya wa kujichubua sura na ...
WIKIENDI iliyopita Jiji la Dar es Salaam lilipambwa na matukio mawili makubwa katika mchezo wa ngumi za kulipwa.
WAPINZANI wa Arsenal kwa msimu ujao, kazi mnayo. Unajua kwa nini, straika mpya wa miamba hiyo ya Emirates, Viktor Gyokeres ...
SIMBA Queens inaendelea kushusha vyuma kimyakimya kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano ya Ligi Kuu na inaelezwa imemalizana ...
Uzoefu wa Vijana Queens kwenye Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam kwa wanawake (WBDL), ndiyo ulioibeba katika mchezo wake ...
NAFASI ya Manchester United kunasa saini ya straika Benjamin Sesko imezidi kuongezeka baada ya staa huyo mwenyewe kuvutiwa na ...
STRAIKA wa Newcastle United, Alexander Isak, 25, amefikia makubaliano ya maslahi binafsi na majogoo wa Liverpool ambapo ...
SIMBA wameonyesha ukubwa wao kwa mara nyingine. Kuna jambo ambalo wamefanya kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Kenya Harambee ...
BEKI wa boli, William Saliba amewapa mashabiki wa Arsenal matumaini makubwa baada ya kufunguka yupo kwenye mazungumzo ya ...
Usajili wa wachezaji na uajiri za benchi la ufundi unaelekea ukingoni tayari kwa klabu kuanza maandalizi ya msimu ujao, huku ...
ALIYEKUWA beki wa kati wa Simba SC, Che Fondoh Malone, sasa ni mchezaji halali wa klabu ya USM Alger ya Algeria baada ya ...
MWENYEJI mwingine wa Fainali za Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, ni Uganda iliyopo Kundi C na timu za Algeria, ...